Nairobi, March 5- Gumzo linazidi kuendelea kuhusu Marioo, msanii maarufu kutoka Tanzania, baada ya Tamasha la Tuzo za Trace lililofanyika Zanzibar mwezi uliopita. Tamasha hili lilivutia umati mkubwa wa mashabiki,
Yuge Bwize
Yugebwize is a passionate radio presenter and entertainment analyst with a knack for writing and uncovering fascinating facts. Dedicated to delivering engaging content and thought-provoking insights and stories.
Mombasa, February 28 – Mo Radio 88.2 FM is proud to celebrate one of its own, Omar Mazera, who has been honored with a prestigious Human Rights Defenders Award at
Mombasa, Februari 26- Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini, J Crack, ambaye amejiimarisha katika tasnia ya muziki kwa zaidi ya miaka 20, ameachilia EP yake ya kwanza, Kilifonian Love, ambayo imevuma
Mombasa, Februari 18- Msanii tajika humu nchini mzawa wa Kaunti ya Kwale,Kelechi Africana anazidi kupiga hatua kimuziki kwa kuachilia kazi mara kwa mara.Kelechi ambaye ni miongoni mwa wasanii waliobobea kwenye
Mombasa, Februari 14- Steve Kipande, mwanamuziki maarufu na mwenye uzoefu kutoka ukanda wa pwani ni miongoni mwa washikadau wenye busara za kunyoosha maelezo na kuwa wazi hasa kuzungumzia mambo yanayoendelea
Mombasa, Februari 13- Msanii wa muda mrefu kutoka ukanda wa Pwani, Happy C ambaye alipata umaarufu kwa zaidi ya mika kumi iliyopita akifanya kazi na kakake SD kwenye kundi la
Mombasa, Februari 12- Nasha Travis, msanii wa kike kutoka humu nchini anaendelea kukua kwa kasi kutokana na muziki wake na kazi zake kwa ujumla na kuendelea kuwa kwenye midomo ya
Mombasa, Februari 6- Ramadhana Mnyaka Omar maarufu Winta rahalimz mzawa wa kaunti ya Taita Taveta ameendelea kuwa kwenye midomo ya mashabiki tangu aanze safari yake ya muziki miaka michache iliyopita.Winta
Mombasa, Februari 6- Mwezi uliopita ulijaa matukio mengi, hasa kwenye sekta ya sanaa na muziki hapa nchini. Moja ya masuala yaliyogonga vichwa vya habari ni sakata la baba na mwanawe
Mombasa, Februari 5- Nesphory Simbiga, maarufu kama Kidis The Jembe, msanii maarufu kutoka Tanzania, anazidi kuwa gumzo kila kona. Kidis, ambaye pia anajulikana kwa majina ya Ngenje Kitaa na Jembe,
Load More