Mombasa, Februari 14- Steve Kipande, mwanamuziki maarufu na mwenye uzoefu kutoka ukanda wa pwani ni miongoni mwa washikadau wenye busara za kunyoosha maelezo na kuwa wazi hasa kuzungumzia mambo yanayoendelea
Yuge Bwize
Yugebwize is a passionate radio presenter and entertainment analyst with a knack for writing and uncovering fascinating facts. Dedicated to delivering engaging content and thought-provoking insights and stories.
Mombasa, Februari 13- Msanii wa muda mrefu kutoka ukanda wa Pwani, Happy C ambaye alipata umaarufu kwa zaidi ya mika kumi iliyopita akifanya kazi na kakake SD kwenye kundi la
Mombasa, Februari 12- Nasha Travis, msanii wa kike kutoka humu nchini anaendelea kukua kwa kasi kutokana na muziki wake na kazi zake kwa ujumla na kuendelea kuwa kwenye midomo ya
Mombasa, Februari 6- Ramadhana Mnyaka Omar maarufu Winta rahalimz mzawa wa kaunti ya Taita Taveta ameendelea kuwa kwenye midomo ya mashabiki tangu aanze safari yake ya muziki miaka michache iliyopita.Winta
Mombasa, Februari 6- Mwezi uliopita ulijaa matukio mengi, hasa kwenye sekta ya sanaa na muziki hapa nchini. Moja ya masuala yaliyogonga vichwa vya habari ni sakata la baba na mwanawe
Mombasa, Februari 5- Nesphory Simbiga, maarufu kama Kidis The Jembe, msanii maarufu kutoka Tanzania, anazidi kuwa gumzo kila kona. Kidis, ambaye pia anajulikana kwa majina ya Ngenje Kitaa na Jembe,
Mombasa, Januari 31- Joto lazidi kupanda Ukanda wa Pwani huku kila msanii na mdau wa muziki akivutia kwake. Nembo ya ‘Ziki La Nazi’ imezua gumzo baada ya familia ya marehemu
Mombasa, Januari 28- Mchekeshaji maarufu nchini, Ali Mwayogwe, maarufu kama Shugaboy, anaendelea kuzua mijadala kwenye mitandao ya kijamii kupitia video zake zinazoteka hisia za wafuasi wake. Shugaboy, msanii mwenye kipaji